Gallery

Saturday, March 29, 2014

HAYA NDIO MADHARA YA KUVAA CHUPI WAKATI WA KULALA KWA WANAWAKE!!! ENDELEA KUSOMA KWA MANUFAA YAKO





Wataalam wa magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo yanaweza kuwapata kina mama na wasichana wenye tabia ya kuvaa nguo za ndani wakati wa kulala ,. Maumbile ya kike yanahitaji kupumua ili kuzuia maambukizi kama vile fangasi ndio maana madaktari wanashauri kulala  bila nguo au kuvaa vinguo vyepesi Dr. Grace Obong, anasema ya kwamba wakati wa mchana wanawake pia huvaa chupi mbalimbali  na nguo za kubana ambazo ufanya sehemu zao za siri kupumua kwa shida sana, anaendelea kwa kusema kuwa ingawa inashauriwa wanawake kuvaa material aina ya pamba lakini wanawake wengi hawapendelei kabisa aina hiyo ya nguo za ndani  hivyo ni muhimu wakati wa kulala usiku kuacha maumbile yapumue vizuri... dr huyo anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama.
Baadhi ya magonjwa au maambukizi yatokanayo na ukiukwaji wa mambo yaliyoelezwa hapo juu ni pamoja na
Bacterial vaginosis

maumbile yakike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo ubalance bactria wazuri ni wengi ukilinganisha na bacteria wazuri  maambukizi yaitwayo Bacterial vaginosis utokea pale mlingano huu unaposhindwa kubalansi  mwanamke mwenye maambukizi upata adha ya kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya na pia wachache ulalamika kupata harufu ya shombo la samaki mara baada ya tendo landoa majimaji hayo yanaweza kuwa na rangi ya maziwa au grey na dalili zngine ni kuungua wakati wa kukojoa magonjwa mengine ni kama yeast infection na mengine mengi..  dr anamaliza kwa kusema  ni mda wa kulala natural na kuepuka unyevu unyevu usiokuwa wa lazima sehemu za siri.

No comments:

TOA MAONI YAKO APA

Powered By Blogger · Designed By Alex for more 0768402946/0785177565